USHAURI KWA WANAOTARAJIA KUOA/ KUOLEWA
*Usioe wala kuolewe kwasababu ya sex.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu tu umri wako unakuruhusu.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu umechoka kuwa single.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu umempa/umepata mimba.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu ni mzuri au anapesa sana.
*Usioe wala kuolewe kwa sifa.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu tu unapenda harusi.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu eti marafiki zako wote wameoa/wameolewa.
But:
-Get married, because you want to fulfil destiny.
-Get married because you want to be a
helpmate to an imperfect person who loves & accepts you for who you are, not who you pretend to be!
-Get married becos you want to fulfil your
promises.
MY PRAYES FOR YOU:
*Mwenyezi Mungu akushike mkono ktk kufanya uchaguzi wako,
Akakutenge mbali na watu ambao si sahihi kwako na akakufunulie mtu sahihi atakayekufaa kwa maisha yako yote.
Na kama upo kwenye ndoa nakuombea ndoa yako ikapate kusimama na ikafanyike kuwa paradiso ndogo
in the mighty Jesus name..
Kama unaami Mungu anaweza kukupatia ndoa njema na hata kukufanya ufurahie ndoa yako kwanini usiseme AMEN
SHARE
No comments: