UTAJUAJE MWANAMKE AMEFIKA KILELENI
Mwili wa mwanamke unapokuwa umeashwa kihisia ni vigumu kutambua ni wakati gani mwanamke amefika kileleni. Mara nyingi huwa ni vigumu kutambua kama mke au mpenzi wako amefika kileleni kwakuwa imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi kuigiza kuhusu jambo hili. kulingana na tafiti mbali mbali zinaonyesha ni wanawake wengi hawajawahi kufika kileleni na miongoni mwao wengine hawajui wakifika kileleni hali huwaje. Wakati wa kuanza kufanya tendo mwili wa mwanamke huongeza mapigo ya moyo, kuhema haraka, chuchu kukaza na raha halisi ya tendo huanza kusikika. hali hii huenda ikiongezeka mpaka pale mwanamke anapofika kileleni. Kwakuwa makala hii ilikuwa na dhumuni la kuwaelekeza wanaume ni kwa jinsi gani wataweza kutambua kuwa mwanamke amefika kileleni basi naona bora niende moja kwa moja kwenye kiini cha makala hii. Mwanamke anapokuwa amefika kileleni au akiwa anakaribia kufika kileleni mambo haya yafuatayo yanaweza kukufanya utambue kuwa uko karibu kumfikisha mpenzi wako.
1. MISULI YA UKE HUTANUKA NA KUACHIA
Misuli ya uke hubana na pale ambapo mwanamke anakaribia kufika kileleni. Hali hii ya kubana na kuachia kwa misuli ya uke huendelea kuongezeka kila baada ya muda mpaka pale mwanamke atakapo fika kileleni. wakati huu mwanaume utahisi uume wako ukibanwa kila mara uingiapo na kutoka katika uke wa mwenza wako. Hali hii hujirudia rudia mpaka pale mwanamke atakapo fika kileleni.
2.KUONGEZEKA KWA MAJI MAJI YA UKENI
Ni hali ya kawaida kwa uke wa mwanamke kutoa kilainishi asilia pale ambapo mwili wake unapokuwa umejiandaa kufanya tendo. Maji maji haya ya ukeni humsaidia mwanamke kujikinga kutokana na michubuko ambayo husababishwa na misuguano ya viungo vya mwanaume na mwanamke. Maji maji haya huongezeka kadiri mwanamke anapokaribia kufika kileleni. Wakati huu mwanamke huwa anajihisi anataka kukojoa, baadhi ya wanawake hutamani kusitisha tendo na kwenda kukojoa. Wingi wa maji haya hutofautiana kwa mwanamke mmoja na mwingine, baadhi ya wanawake humwaga maji mengi pindi wafikapo kilele lakini wengine hutoa maji ya kiasi wafikapo kileleni.
3. MIGUNO NA SAUTI ZA KIMAHABA HUONGEZEKA
Wengi wa wanawake wa siku hizi wameharibiwa na kanda za ngono kwani huwa wanaigiza sauti nakutoa milio kama watoavyo wanawake wachezao video za X. Wanawake wengine hupata wanapiga kelele zenye mipangilio maalumu na wengine wanaweza kwambia baby nafika kileleni. kwa mwanaume unapaswa kuwa mjanja ili utambue mbivu na mbichi katika hili. Yeye apige kelele awezavyo lakini siri ninayoweza kukuibia wewe mwanaume ni kwamba kelele za kufika kileleni huwa hazina mpangilio maalumu, mwanamke anaweza piga kelele na kuongea vitu visivyo eleweka ukiona hivyo tambua kwamba umemfikisha mwenzio kileleni.
4. CHUCHU HUWA NGUMU
Wakati wa kufanya tendo chuchu za mwanamke huvimba kutokana na mzunguko wa damu kuongezeka katika sehemu mbali mbali za mwili. Kuna baadhi ya wanawake huwa na chuchu ngumu muda wote ijapokuwa idadi yao sio kubwa. Hivyo ni vyema mwanaume ukatambua asili ya chuchu za mpenzi wako mapema kabla ya kuanza tendo. Ila katika hali ya kawaida chuchu za mwanamke akaribiapo kufika kileleni huwa ngumu pindi unapo zishika. Kwa wanawake ambao chuchu zao ni ngumu hatuwezi kuitumia hii kama dalili.
5. LUGHA ZA MWILI
Mwanamke anapokarinia kufika kileleni mwili wake wote huzungumza, macho yake mikono, mpakamiguu pia. Katika wakati huu mwanamke huwa anahema kwa haraka, hujifinyanga finyanga nakuhangaika kitandani kana kwamba anataka kujinasua kutoka katika mtego fulani. Wanawake wengine huwakumbatia wanaume zao kwa nguvu wakiwavutia kifuani. Mikono ya wengine hujikunja nashika shuka kwa nguvu. .
NB: Kumfikisha mwanamke kileleni ni swala la maandalizi, haijalishi unakibamia au unamashine kama ya kusagia mahindi. Maandalizi na utundu ndio silaha pekee ambayo mwanaume anatakiwa kuitumia ili kumfikisha mwanamke wake kileleni. Kwa amaoni na maswali usisite kuuliza katika kisanduku hapo chini.
Nice script
ReplyDelete